Monday 18 July 2016

PARACHICHI.


Parachichi.

Aina za kisasa (hybrid)
1. Fuerte-ganda lake ni laini sanaa kama limepakwa mafuta
2. Haas-ni maarufu sana, ganda lake linavipele vipele hivi
3. X-ikulu-ni parachihi ngumu kuotesha, akini ikubali tunda lake huwa ni kubwa hata majani yake ni mapana, tunda lake mmoja huweza uzwa hata tsh 700-1500
4. Etinga/weiso


No comments:

Post a Comment